Aliyeslimu

MAISHA YA MASWAHABA: Salmaan al-Faarisy (Allah amridhie)

Wiki hii tunaanza kumzungumzia Swahaba aitwaye Salmaan al-Faarisy. Huyu ni Swahaba aliyepata umaarufu mkubwa nakupendwa sana na Waislamu kuanzia wakati wa Mtume hadi leo hii. Salmaan ambaye alitokea Fursi, (Iran ya leo), alipewa jina la ‘Assaii waraal haqiqa’ (mwenda nyuma ya haki). Jina la Salmaan kabla ya kusilimu lilikuwa ni Ruuzba bin Jashbuudhan. Ni Swahaba huyu ndie aliyeshauri Waislamu wachimbe handaki ...

Read More »

Utulivu wakati wa Swala ulinifanya niingie katika Uislamu- Chacha

  Katika dini tukufu ya Uislamu kila ibada ina namna yake sahihi ya utekelezaji kutokana na mafundisho matukufu ya Mwenyezi Mungu na Mtume wetu Muhammad (rehema za Allah na amani zimshukie). Uislamu ni mfumo wa maisha hivyo Mwenyezi Mungu Aliyetukuka hajaacha kitu chochote bila kukielezea hukumu na namna ya utekelezaji wake. Moja ya mafundisho ya Uislamu ni kutekeleza nguzo tano ...

Read More »

Kupigania hali za wasioona Waislamu ni lengo letu – Benedicto

Wakati ukiendelea kuvuta pumzi aliyokujalia Mwenyezi Mungu na hauilipii hata senti, jiulize nini umefanya kwa ajili ya dini yako na umma wa Kiislamu kwa ujumla? Jamii ya Kiislamu inahitaji kuwa imara kiuchumi, kijamii, kisiasa na hata kielimu (zote, ya mazingira na muongozo). Nguvu na uimara huu hauwezi kupatikana bila Waislamu wenyewe kufanya kazi. Leo, katika makala hii tunamuangalia mlemavu wa ...

Read More »

Albert Alexender Ngalwa: Mestant aliyeamua Kumbwagia virago padri Kanisa Katoliki

Ngalawa ambaye kabla hajaiona nuru ya Uis- lamualikuwaakiitwaAlbertAlexender, alizaliwa miaka 38 iliyopita Wilayani Kilombero mkoani Morogoro akiwa ni mtoto wa nne wa familia ya mzee Alexender Ngalawa. Maisha yake kabla ya kusilimu Nilikutana na Bakari mtaa wa Karume mjini Morogoro ambapo aliniambia alianza shule ya msingi mwaka 1990 na kuhitimu darasa la saba mwaka 1996 katika shule ya msingi Nyanduo ...

Read More »

STELLA NJAMA; Bibilia Ilivyotumika Kumbadilisha Hadi Kusilimu

Kwa wafuatiliaji wa safu hii, tunayemzungumzia leo ni ndugu wa Mariam Njama ambaye kisa chake tumekieleza wiki chache tu zilizopita. Mdogo wake huyu alizaliwa kwa jina la Stella Wildbad Njama lakini sasa anaitwa Jamila. Jamila alizaliwa Moshi kijiji cha Kikavu mwaka 1992, na alipata elimu yake huko katika shule ya Kikavu chini, akitokea katika familia ya waumini wazuri wa dini ...

Read More »

Aaron Petro na Jinsi Alivyohama Ukristo

Aaron Petro Show alizaliwa JanuarI 9, 1978 Mkoani Kilimanjaro katika Wilaya ya Hai Kijiji cha Kilanya, akiwa mtoto wa kwanza kati ya jumla ya watoto nane wa baba na mama mmoja. Aaron alipata elimu yake ya msingi huko huko, lakini hakubahatika kuendelea mbele kwa sababu ya migogoro ya kifamilia. Familia ya Aaron ilikuwa ni waumini wazuri wa Ukristo kutoka dhehebu ...

Read More »