Author Archives: Admin

Qur’an Inasemaje Ndugu Wanapogombana?

Mapema wiki hii, baadhi ya nchi zinazounda Umoja wa Ghuba (GCC) zilisitisha uhusiano wao wa Kidiplomasia na nchi ya Qatar. Nchi hizo ni pamoja na Saudi Arabia, Misri, Bahrain, Yemen, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Kisi- wa cha Maldives. Kuna mengi yametajwa kama chanzo cha mvutano huo, lakini sisi kama chombo cha habari cha Kiislamu kinachopendelea na kuhimiza ...

Read More »

TIF Yatoa Matibabu Bure kwa Wagonjwa 2,600

TAASISI ya The Islamic Foun- dation (TIF) imefanikiwa ku-toa matibabu bure ya maradhi mbalimbali kwa zaidi ya wagonjwa 2,600 wilayani Sengerema, mkoa- ni Mwanza. Naibu Mkurugenzi wa taasisi hiyo mkoani Mwanza, Mbaraka Saidi, amekiambia kipindi cha ‘Sayari ya Imaan’ kinachorushwa na Televisheni ya Imaan kuwa kambi hiyo ilidumu kwa siku mbili na kufanyika katika Shule ya Se- kondari ya Sengerema ...

Read More »

Kuwa Mkarimu Ndani ya Ramadhani

Mtume (rehema na amani ya Allah zimshukie) amesema katika Hadithul quds kwamba Allah amesema: “Enyi waja wangu, kama wa mwanzo wenu na wa mwisho wenu, katika watu na majini, wangesimama katika uwanja mmoja wakaniomba; nikiwapa kila mmoja kile alichokiomba, kisingepun- gua chochote katika yale niliyokuwa nayo isipokuwa ni kama unavyopun- guza uzi uchovywao katika bahari,” (Muslim). Pia Mtume (rehema na ...

Read More »

Mwinyi Ahimiza Maimamu Wawe Waliohifadhi Qur’an

Rais mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muugano wa Tan- zania, Ali Hassan Mwinyi ame- shauri kuwa maimamu katika misikiti nchini wawe ni watu walio- hifadhi Kitabu cha Mwenyezi Mun- gu, Qur’an Tukufu. Mzee Mwinyi alitoa ushauri huo wakati wa mashindano ya usomaji Qur’an yaliyoandaliwa na Taasisi ya al-Manahil Irfani Islamic Centre na kufanyika kwenye uwanja wa PTA ...

Read More »

Kujibu Madai Uislamu ni Dini ya Umwagaji Damu

Kila sifa njema anastahiki MwenyeziMunguPekeYake na rehema na amani zimfik- ie Mtume Muhammad ambaye hakuna Nabii baada yake. Ama baada ya hayo. Awali ya yote, hatuna budi kusema kuwa Uislamu hauhusiki kabisa na makundi ya kukufurisha ambayo yamezagaa katika zama hizi. Uis- lamu pia hauhusiki na vitisho, kuua, kukatakata viungo vya wafu na kumwaga damu kwa jina la Uislamu. Yote ...

Read More »

“Enyi Mlioamini! Mmelazimishwa kufunga (Swaumu) . . .”

Assalam Alaykum wap- endwa wasomaji wa safu hii adhimu ya Akisi ya Aya. Kwanza niwa- take radhi kwa kushindwa kuwaletea safu hii wiki iliyopita kutokana na sababu zi- lizokuwa nje ya uwezo wangu. Lakini leo Insh’Allah tuakisi pamoja Aya hizo za Mwenyezi Mungu tuli- zozitaja kutoka Surat Baqara ambazo zinase- ma: “ Enyi Mlioamini! Mmelaz- imishwa kufunga (Swaumu) kama walivyolazimishwa ...

Read More »

Taratibu na Misingi Inayoimarisha Ndoa Katika Uislamu

Imekuja Hadithi ya Mtume (rehe- ma na amani ya Allah imshukie) inayobainisha kuwa haifai kisharia kumchumbia mwanamke aliye katika eda ya kuachwa talaka tatu au eda ya aliyefiwa na mumewe, kwa kutumia lugha ya wazi kabisa. Fatima binti Kaisi (Allah amridhie) aliachwa na mumewe talaka tatu. Mtume (rehema na amani ya Allah imshukie) akamwambia: “Utaka- pomaliza eda yako nijulishe.” Eda ...

Read More »

Mlo wa tende Unavyosaidia Kuandaa Futari Kamili

Kwa mujibu wa mafundisho ya Mtume Muhammad (amani na rehema ya Allah zimshukie), mfungaji anatakiwa afungue kwa tende, maji au maziwa, halafu aswali Magharibi na baada ya hapo aendelee kula (futari kamili). Tukizingatia aina ya virutubisho (nutrients) vinavyopatikana katika mlo wa tende, tutaweza kuandaa mlo bora kabisa ambao tutaula baada ya mtu kukata swaumu kwa tende. Pia, kuzifahamu tende kutatusaidia ...

Read More »

ramadhan, mwezi wa mashujaa

Mtume wa Mwenyezi Mungu al- ihangaika sana, machozi yake hay- akusimama, dua zake hazikukoma, mpaka joho lake likaangukia mabe- gani na Abubakar (radhi za Allah zimshukie), Swahaba wake wa kari- bu zaidi, akimpa matumaini kwamba Allah ‘Azza wa Jalla’ hawezi kukataa dua zake. Lakini huo haukuwa usiku wa kawaida na hapo pia hapakuwa ma- hali pa kawaida. Huo ulikuwa ni ...

Read More »

NABII MUSA

Moto katika Jangwa Takatifu la Mlima Tuwa Musa aliutazama moto katika Mlima wa Tuwa na kurejea nyuma huku akiwa anatetemeka. Musa pia aliona mti wa ki- jani inayokurubia weusi huku ukiungua. Lakini kila moto ulipokuwa ukizidi na rangi ya kijani nayo iliendelea kuzidi. Musa (amani iwe juu yake) aliondoka huku akitetemeka, licha ya kupata vugu- vugu la moto. Mti huu ...

Read More »