Author Archives: Admin

Taratibu na misingi inayoimarisha ndoa katika uislamu

Aidha tulibainisha kwamba inafaa kuposa kwa kutumia lugha ya ishara, kwa mwanamke aliye katika eda kwa kuzingatia hali fulani, na uharamu unakuwepo kwa nyakati fulani. Swali la msingi la kujiuliza katika shauri hili, ni ipi hukumu ya mwan- amke aliyeolewa kwa kupitia mchaka- to wa posa ya haramu? Jibu la swali hili ni kwamba, kwa kauli sahihi ya wa- nazuoni, ...

Read More »

Kwanini tunahimizwa kula daku?

Kula daku ni jambo lililokoko- tezwa sana na Uislamu kama tunakavyo ona katika Aya na Hadithi za Mtume Muhammad (rehema na amani za Mwenyezi Mungu zimfikie) katika makala hii. Qur’an na daku “ . . . Na kuleni na kunyweni mpaka ubainike kwenu weupe wa alfajir katika weusi wa usiku. . . ” (Qur’an,2:187). Ayahiiinatuhimi- za kula na kunywa mpaka ...

Read More »

Nabii Musa: Mtume aliyepasua bahari kwa fimbo

Nabii Musa afanya maandalizi ya kumkabili Firauni. Hapa mke wa Musa bado yupo katika hema lake akimsubiri mumewe arudi. Haelewi maswahibu yaliyomkumba mumewe, haelewi atachukua muda gani katika mazungumzo ya siri na Mola wake katika Mlima Tuwa, na pia hafahamu kitu gani kinajiri katika akili ya mumewe. Lolote linaweza kutokea, ila tu ni kwamba Allah Aliyetukuka aliujaza moyo wa mke ...

Read More »

Albert Alexender Ngalwa: Mestant aliyeamua Kumbwagia virago padri Kanisa Katoliki

Ngalawa ambaye kabla hajaiona nuru ya Uis- lamualikuwaakiitwaAlbertAlexender, alizaliwa miaka 38 iliyopita Wilayani Kilombero mkoani Morogoro akiwa ni mtoto wa nne wa familia ya mzee Alexender Ngalawa. Maisha yake kabla ya kusilimu Nilikutana na Bakari mtaa wa Karume mjini Morogoro ambapo aliniambia alianza shule ya msingi mwaka 1990 na kuhitimu darasa la saba mwaka 1996 katika shule ya msingi Nyanduo ...

Read More »

Muislamu na swaumu

Allah anasema: “Enyi mlio- amini! Mmefaridhishwa kufun- ga (swaumu) kama ilivyofari- dhishwa kwa waliokuwa kabla yenu ili mpate kuwa wachaMun- gu. (Swaumu ni) Siku za kuhesa- bika. Basi atakayekuwa mgonjwa miongoni mwenu, au yuko safa- rini, basi akamilishe idadi katika masiku mengineyo. “Na kwa wale wanaoiweza la- kini kwa mashaka watoe fidia; kulisha masikini. Na atakayefan- ya kwa khiari yake ...

Read More »

Tabia Zetu Ziakisi Ujumbe wa Qur’an!

Tupo katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Nimweziuliochaguli- wa na Allah ‘Azza wa Jalla’ kama mwezi wa kufunga. Mwenyezi Mungu ameupendelea mwezi huu kuliko miezi mingine yote kwa kuu- fanya kuwa mwezi wa rehema na toba kwa waumini wote. Hakika Ramadhani ndiyo mwezi mkuu ku- liko yote! Mwezi ambao Allah ‘Azza wa Jalla’ alianza kushusha ujumbe wake wa mwisho kwa wanadamu ...

Read More »

Tutumie Ramadhani kujifunza kusameheana

Kutubia makosa na kukithirisha ‘istigh- faar’ yaani kumuomba msamaha Allah, ni ngao mbili muhimu zinazoweza kum- kinga muumini kutokana na dosari za kibin- adamu. Mwezi wa Ramadhani ni fursa muhimu ya kutekeleza amali hizi kikamilifu. Pamoja na umuhimu huo, baadhi yetu tu- mekosa utayari wa kutekeleza ibada hii kuto- kana na kuipa thamani ndogo, na ndiyo maana kila mwaka tunafunga ...

Read More »

Qur’an Inasemaje Ndugu Wanapogombana?

Mapema wiki hii, baadhi ya nchi zinazounda Umoja wa Ghuba (GCC) zilisitisha uhusiano wao wa Kidiplomasia na nchi ya Qatar. Nchi hizo ni pamoja na Saudi Arabia, Misri, Bahrain, Yemen, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Kisi- wa cha Maldives. Kuna mengi yametajwa kama chanzo cha mvutano huo, lakini sisi kama chombo cha habari cha Kiislamu kinachopendelea na kuhimiza ...

Read More »

TIF Yatoa Matibabu Bure kwa Wagonjwa 2,600

TAASISI ya The Islamic Foun- dation (TIF) imefanikiwa ku-toa matibabu bure ya maradhi mbalimbali kwa zaidi ya wagonjwa 2,600 wilayani Sengerema, mkoa- ni Mwanza. Naibu Mkurugenzi wa taasisi hiyo mkoani Mwanza, Mbaraka Saidi, amekiambia kipindi cha ‘Sayari ya Imaan’ kinachorushwa na Televisheni ya Imaan kuwa kambi hiyo ilidumu kwa siku mbili na kufanyika katika Shule ya Se- kondari ya Sengerema ...

Read More »

Kuwa Mkarimu Ndani ya Ramadhani

Mtume (rehema na amani ya Allah zimshukie) amesema katika Hadithul quds kwamba Allah amesema: “Enyi waja wangu, kama wa mwanzo wenu na wa mwisho wenu, katika watu na majini, wangesimama katika uwanja mmoja wakaniomba; nikiwapa kila mmoja kile alichokiomba, kisingepun- gua chochote katika yale niliyokuwa nayo isipokuwa ni kama unavyopun- guza uzi uchovywao katika bahari,” (Muslim). Pia Mtume (rehema na ...

Read More »