Author Archives: Admin

Funga na malezi ya nafsi

Allah ameifanya funga kuwa ni nguzo miongoni mwa nguzo za Uisla- mu, akaifanya kuwa ni faradhi kwa kila mwenye kulazimmika kisheria. Allah amewasemesha watu kwa shar- ia hii na akawaita wale wenye kuamini kwa sababu wao ni wepesi sana kuiti- kia wito wa Allah na kuufanyia kazi baada ya kuusikia. Allah akasema: “Enyi mlioamini! Imewajibishwa juu yenu funga, kama ilivyowajibishwa ...

Read More »

Udhuru unaoruhusiwa na sharia kuacha

Aidha, hutokea kanuni za kibin-amu zikapatia mara moja na ku- kosea mara chungu nzima. Ama sharia iliyotoka kwa Mwenye Hekima na Mjuzi wa vi- umbe wote, imekuja kukamilisha mahitaji ya mwanadamu, yenye kutengeneza na kusuluhisha mwenendo mzima wa maisha yake ya kila siku, ipo sawasawa haina kupindisha ndani yake. Zaidi ya hayo, Sharia ya Mwenye- zi Mungu inachunga udhaifu aliy- ...

Read More »

NABII MUSA: Mtume aliyepasua bahari kwa fimbo

Msihofu nipo pamoja Musa (amani ya Allah imshukie) alifika katika ardhi ya Misri na kwenda moja kwa moja kwamamayakenakakayake Harun. Awali, hawakumjua lakini baadaye wakam- baini na kumsalimia. Musa alimwambia kaka yake Harun (amaniyaAllahimshukie):“Hakika Mola wangu Mlezi ameniamuru niende kwa Firauni ili ni mlinganie kwa Allah..Na Mola wangu Mlezi pia amekuamuru wewe uni- saidie mimi katika jukumu hili.” Harun akasema: ...

Read More »

Muislamu na swaumu

Katika Hadithi, Mtume wetu Muhammad (rehema na amani za Allah zimshukie) amesema; “Anaposafiri mja au kuugua huwa anaandikiwa thawabu za yale ambayo alikuwa na ada ya kuyafanya wakati akiwa hajasa- firi na mzima.” Wanawake wengi wanap- opatwa na ada zao za kimaum- bile ndani ya Mwezi wa Ramad- hani, hukata tamaa kwa kuche- lea na kuhofia kupitwa na kheri na ...

Read More »

Mashindano ya Qur’an ya afrika yatia fora Dar

Katika kuonesha mapenzi yao na Kitabu Kitukufu cha Allah, Qu’ani, maelfu ya watu walihudhuria Ju- mapilihiikwenyemashindanoya Kimataifayauso- maji Qur’ani kwa ghaibu yaliofanyika uwanja wa Taifa ji- jini Dar es Salaam. Uwanja huo unaochukuwa watu takribani 60,000, ulifurika na hivyo watu wengi zaidi kulazimika kubaki nje. Hali hiyo ilimlazimu Mratibu wa Mashindano hayo, Sheikh Nurdeen Kishki kuomba radhi na kutoa ombi ...

Read More »

Darasa za ramadhani zituongoze katika kumcha allah vilivyo

Darasa za Ramadhani ni moja ya vikao muhimu vinavyoweza kumbadilisha Muislamu kutoka kwenye maisha ya uchaji viumbe/vitu hadi UchaMungu. Dar- asa hizi ambazo nyingi hufanyika misikitini nyakati za jioni, zimekuwa na umuhimu mkubwa hususan katika zama hizi ambapo Waislamu hawana hima ya kusoma dini yao. Kuna mengi ya kujifunza kupitia darasa za Ramadhani ikiwa ni safari ya kuelekea kwenye maisha ...

Read More »

Kila la kheri washiriki, waandaaji mashindano ya Qur’an

Mwezi wa Ramadhani ni mwezi bora kuliko miezi yote, na moja kati ya saba- bu ya ubora wake ni kule kuter- emshwa katika mwezi huu Qur’ an Tukufu kama ilivyothibiti ndani ya Qur’an:“Mwezi wa Ra- madhani ndio ambao imeterem- shwa Qur’ an ili iwe uongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uon- gofu na upambanuzi (wa baina ya haki ...

Read More »

Siri ya Laylatul Qadr

hizi hapa Fadhila za siku 10 za Mwisho wa ramadhani Kujipinda huku ni katika kufanya ibada kwa wingi na miongoni mwa ibada alizokuwa akikithirisha kuzifan- ya katika kumi la mwisho ni ibada ya Itikafu na kisimamo cha usiku. Im- eripotiwa Hadithi kwamba “ Miongo- ni mwa mambo aliyoyafanya ni ku- jitengakwaitikafunakutafutaLaylatul Qadr,” (Bukhari, Na. 1913; Muslim, Na. 1169). Naye mama ‘Aisha ...

Read More »

VPN yaja na mkakati kuendeleza vipaji vya watoto wa kiislamu

Ili kufanikisha malengo ya wato- to wenye vipaji, wazazi nchini wamehimizwa kuwalea vijana wao katika nidhamu ya kumtam- bua Allah kwani kufanya hivyo ndiyo njia ya kukuza na kuhuisha vipaji vyao. Dkt. Hassan Mshinda, Mkuru- genzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia amebaini- sha hayo wakati wa hafla ya futari na kuwachangia wanafunzi wenye vipaji iliyoandaliwa na ...

Read More »

TIF yakabidhi misaada ya awamu ya pili Pemba

Taasisi ya The Islamic Foundation (TIF) yenye makao yake makuu mjini Morogoro imekabidhi kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) awamu ya pili ya misaada ya zaidi ya tani 9 za vyakula mbalimbalikwa ajili ya waathirika wa mafuriko ya Pemba. Mkurugenzi wa Idara ya Mipango wa TIF, Mussa Buluki, ameliambia Gazeti Imaan kuwa misaada hiyo imetokana na Shilingi Milioni 28 ...

Read More »