Author Archives: Admin

Tuendeleze somo la kusamehe, kuvumilia tulilolipata ndani ya Ramadhani

Kwa hakika ngao pekee inayoweza kum- kinga muumini kutokana na dosari za kibinadamu ni kutubia makosa pamo- ja na kukithirisha ‘Istighfaar’ yaani ku- muomba msamaha Mwenyezi Mungu. Mwezi wa Ramadhani ni fursa muhimu ya kutekeleza amali hizi kikamilifu. Pamoja na umuhimu huo, bado mion- goni mwetu hatuna utayari wa kuitekeleza ibada hii kutokana na kuipa thamani ndo- go, na ndio ...

Read More »

Ubora Wa Kufunga siku zita za mwezi wa Shawwali

Ubora na fadhila hizi zimethibit- ishwa na Hadithi Sahihi ya Mtume (rehema na amani za Allah zimshuk- ie) iliyopokewana Swahaba Abu Ayyub al-Answari (Allah amridhie). Mtume amesema: “Mtu aliyefunga mwezi wa Ramadhani kisha akafua- tisha kufunga siku sita za mwezi wa Shawwali, malipo yake anakuwa ni kama mtu aliyefunga dahari yaani milele,” (Muslim). Faida nyingine inayopatikana ka- tika kufunga siku sita ...

Read More »

Sherehe za Idd zafana Dar, mikoani

Kufuatia kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Waislamu nchini wametakiwa kudumisha ukarimu, mapenzi, huruma san- jari na kuendelea na utekelezaji wa ibada walizokuwa wakizifanya ndani ya mwezi huo kwa kuzifanya ndani ya miezi mingine isiyokuwa Ramadhani. Hayo yamebainishwa na masheikh mbalimbali walipokuwa wakiwahutubia mamia ya wau- mini wa dini ya Kiislamu kupitia khutba ya ibada ya Swala ya ...

Read More »

Serikali yaahidi kushirikiana na TIF

Taasisi ya The Islamic Foundation (TIF) ya mjini Morogoro imemkabidhi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanza- nia Kassim Majaliwa taarifa ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ikiwemo ya utoaji misaada kwa wa- hanga wa mafuriko Pemba na ile ya tetemeko la ardhi lililotokea mkoani Kagera mwezi Septemba, 2016. Mwenyekiti wa TIF, Aref Nahdi alikabidhi ripoti hiyo kwa Waziri wa ...

Read More »

Athari ya Funga Katika Maadili ya Muislamu na Kujenga utu

Kila sifa njema anastahiki Mwenyezi Mungu, na re- hema na amani zimfikie bwana wetu Mtume wa Mwenyezi Mungu na jamaa zake, Maswahaba zake na wote wamfuatao kwa wema. Ama baada ya hayo, ibada katika Uislamu zina athari kubwa katika kuzirekebisha nafsi, kuzitakasa na uchafu na kurekebisha tabia. Na ibada ya funga ni miongoni mwa ibada zenye mchango mkubwa un- aoonekana ...

Read More »

Makosa mbalimbali kwa wenye kufunga

Imepokewa Hadithi kutoka kwa Hudhaifa bin Yamaaniy (Allah amri- dhie) ambaye amesema: “Watu wa- likuwa wakimuuliza Mtume kuhusi- ana na kheri nami nilikuwa nikimu- uliza kuhusiana na shari kwa ajili ya kuogopa isinipate,” (Bukhari na Mus- lim). Kwa hivyo ni vizuri kulijua jambo baya ili kuliepuka. Kwa sababu hiyo tunayazungumzia baadhi ya makosa wanayoyafanya watu ndani ya Ram- adhani, yakiwemo ...

Read More »

Funga na malezi ya nafsi

Allah ameifanya funga kuwa ni nguzo miongoni mwa nguzo za Uisla- mu, akaifanya kuwa ni faradhi kwa kila mwenye kulazimmika kisheria. Allah amewasemesha watu kwa shar- ia hii na akawaita wale wenye kuamini kwa sababu wao ni wepesi sana kuiti- kia wito wa Allah na kuufanyia kazi baada ya kuusikia. Allah akasema: “Enyi mlioamini! Imewajibishwa juu yenu funga, kama ilivyowajibishwa ...

Read More »

Udhuru unaoruhusiwa na sharia kuacha

Aidha, hutokea kanuni za kibin-amu zikapatia mara moja na ku- kosea mara chungu nzima. Ama sharia iliyotoka kwa Mwenye Hekima na Mjuzi wa vi- umbe wote, imekuja kukamilisha mahitaji ya mwanadamu, yenye kutengeneza na kusuluhisha mwenendo mzima wa maisha yake ya kila siku, ipo sawasawa haina kupindisha ndani yake. Zaidi ya hayo, Sharia ya Mwenye- zi Mungu inachunga udhaifu aliy- ...

Read More »

NABII MUSA: Mtume aliyepasua bahari kwa fimbo

Msihofu nipo pamoja Musa (amani ya Allah imshukie) alifika katika ardhi ya Misri na kwenda moja kwa moja kwamamayakenakakayake Harun. Awali, hawakumjua lakini baadaye wakam- baini na kumsalimia. Musa alimwambia kaka yake Harun (amaniyaAllahimshukie):“Hakika Mola wangu Mlezi ameniamuru niende kwa Firauni ili ni mlinganie kwa Allah..Na Mola wangu Mlezi pia amekuamuru wewe uni- saidie mimi katika jukumu hili.” Harun akasema: ...

Read More »