Author Archives: Admin

Hukumu Na Muongozo Sahihi wa Mazishi katika Uislamu

Kutaja mema ya Kutaja mambo mema na ya kheri aliyokuwa akiyafanya maiti kipindi cha uhai wake ni jambo zuri na linaloruhusiwa kisharia. Lakini usimuliaji huo wa mambo ya kheri ya maiti ni sharti usimuliwe na Waislamu kunzia wawili na kuendelea, miongoni mwa jirani zake ambao wanamjua marehemu vizuri. Isitoshe watu hao wawe na sifa nyingine za ziada, wawe wema na ...

Read More »

Mambo Yanayochangia Mtu Kukosa Usingizi

Usingizi ni neema Usingizi ni neema na rasilimali ambayo Mwenyezi Mungu apetupa wanadamu. Mtu asiyepata muda wa kutosha wa kulala anafungua milango ya kupata maradhi mbalimbali. Katika mafundisho ya Qur’an, usingizi ni alama ya kuonyesha uwepo wa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu anasema katika Qur’an Tukufu: “Na katika Ishara zake ni kulala kwenu usiku na mchana, na kutafuta kwenu fadhila zake. ...

Read More »

Maisha Ya Hind Bint Utba

Kabla ya kusilimu Leo tunaendelea kuhadithia na kisa cha Swahaba Hind na mumewe Abuu Sufian bin Harb tulichokianza toleo lililopita ambapo tuliona kuwa kabla ya kusilimu, kwa muda usiopungua miaka 20, alitumia mali, vipawa na muda wake kuendesha uadui dhidi ya Uislamu. Tuliona pia miongoni mwa waliouawa katika Vita vya Badr ambavyo Waislamu licha ya uchache na uhaba wa silaha, ...

Read More »

Nani Aliyeuza Ardhi Ya Wapalestina?

Kitisho cha Saudi Arabia kwamba ikibidi itaingia vitani kuipigania ardhi ya Palestina kilipata mtihani wake wa kwanza kwa kuundwa Kamati ya Pamoja ya Uingereza na Marekani kuhusu Palestina. Miezi miwili baada ya Rais Harry Trumann wa Marekani kutangaza Marekani itawapa hati za kusafiria wahamiaji laki moja wa Kiyahudi walionusurika katika makucha ya Hitler waingie Palestina, tangazo hilo lilipingwa na nchi ...

Read More »

STELLA NJAMA; Bibilia Ilivyotumika Kumbadilisha Hadi Kusilimu

Kwa wafuatiliaji wa safu hii, tunayemzungumzia leo ni ndugu wa Mariam Njama ambaye kisa chake tumekieleza wiki chache tu zilizopita. Mdogo wake huyu alizaliwa kwa jina la Stella Wildbad Njama lakini sasa anaitwa Jamila. Jamila alizaliwa Moshi kijiji cha Kikavu mwaka 1992, na alipata elimu yake huko katika shule ya Kikavu chini, akitokea katika familia ya waumini wazuri wa dini ...

Read More »

Kutenda Kheri Ndiyo Ulinganiaji Bora, Na Wenye Tija

Ulinganiaji ni katika matendo matukufu na yaliyo bora zaidi mbele ya Allah Ta’ala. Muislamu atakapoweza kutekeleza ibada hii ipasavyo atakuwa amehuisha kazi ya Mitume na Manabii, nayo ni kuwalingania watu katika njia ya Allah. Allah Mtukufu anawausia waumini juu ya kushikamana na ibada hii tukufu: “Na wawepo katika nyinyi watu wanaolingania kheri na wanaoamrisha mema na wanakataza maovu. Na hao ...

Read More »

Waislamu Wanahitaji Tamko Juu Ya Kadhia Ya Hijja

Katika toleo hili tumechapisha habari inayohusiana na mkanganyiko unaondelea kutanda juu ya hatma ya Watanzania kwenda kufanya ibada ya Hijja mwaka huu nchini Saudi Arabia. Mkanganyiko huo kwa mara ya kwanza ulizuka takribani mwezi mmoja uliopita mara baada ya vyombo mbali mbali vya habari kutangaza kuwa taasisi zinazojishughulisha na masuala ya kusafirisha mahujaji zilikuwa zinadaiwa na serikali ya Saudi Arabia ...

Read More »

Maisha Na Itikadi Ya Sheikh Muhammad Bin Abdulwahhab;

Da’wah ya Sheikh Ibn Abdulwahhab (mwendelezo) Kazi ya da’wah ya Sheikh Muhammad bin Abdulwahhab (Allah amrehemu) inajieleza yenyewe na inakanusha kila aina ya uongo na uzandiki dhidi yake. Miongoni mwa kazi alizozifanya ni kukata miti ambayo Waislamu wa Najd walikuwa wakiiabudu na kuiomba kwa itikadi zao mbali mbali, maombi ambayo yalipaswa kuelekezewa Allah Ta’ala pekee. Miti aliyoikata ilifanana na ile ...

Read More »

TIF Kumleta Nchini Mhadhiri Wahaj Tarin

  NA MWANDISHI WETU Taasisi ya The Islamic Foundation(TIF) inatarajia kumleta nchini mhadhiri wa kimataifa kutoka nchini Australia, Ustadh Wahaji Tarin ikiwa ni muendelezo wa juhudi za taasisi hiyo za zoezi kuwaleta wanazuoni wakubwa ulimwengu nchini kwa ajili ya da’wah. Mwaka jana TIF ilimleta nchini Mufti wa Zimbabwe na Mhubiri wa Kimataifa, Ismail bin Musa Menk. Mhadhiri anayekuja safari hii, ...

Read More »

TIF: Cheti Cha Heshima

CHUO cha uandishi wa habari Morogoro MSJ kimekabidhi cheti cha heshima kwa vituo vya matangazo vya imaan media vilivyo chini ya Taasisi ya The Islamic Foundation kwa kutambua mchango wake katika kuwaendeleza watendaji wake.

Read More »