Author Archives: Admin

Muntada Aid UK vsited TIF

The administration of the international Humanitarian aid, Muntada Aid has visited The Islamic Foundation headquaters in Morogoro as well as various part of the Organization. On this friendship and partnership visit between Muntada Aid and TIF,  The delegation was received by their host, Aref Nahdi (Chairman of TIF). The delegation was Chief Executive Officer of Muntada AId Sheikh Hamid Azad, who was accompanied ...

Read More »

Muntada Aid watembelea TIF

Uongozi wa taasisi ya kimataifa ya misaada ya kibinadamu, Muntada Aid, umetembelea Makao Makuu ya The Islamic Foundation (TIF) mjini Morogoro pamoja na vitengo mbali mbali vya taasisi hiyo. Katika ziara hiyo ya kujenga urafiki na ushirikiano kati ya Muntada Aid na TIF, ujumbe wa Muntada Aid ulipokelewa na mwenyeji wao Mwenyekiti wa TIF Aref Nahdi. Ujumbe huo ulikuwa wa Mtendaji ...

Read More »

Muntada Aid visits Tanzania

Muntada Aid has visiting Tanzania for the 3rd time to complete their Little Hearts Project. Already they have saved the lives of 187 children in Tanzania through are award-winning Project there, and now they are in Tanzania with more little hearts will be repaired. Muntada Aid is a global humanitarian charity which operates in some of the world’s most vulnerable places, ...

Read More »

Khutbah: Utukufu wa Masjid Aqswa

WAISLAMU nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kutetea maslahi ya waislamu nchini palestina kwani nchini hiyo ni moja kati ya nchi yenye historia kubwa ya dini tukufu ya kiislamu. Kauli hiyo imetolewa na imamu mkuu msikiti wa Haqq sheikh Ibrahim Twaha wakati akitoa Khutba ya swala ya Ijumaa iliyo swaliwa katika msikiti huo uliyopo ndani ya manispaa ya Morogoro. ...

Read More »

Dkt. Ahmada El Badaoui amesifu juhudi za TIF

#BALOZI wa Comoro nchini #Tanzania Dkt. Ahmada El Badaoui amesifu juhudi za Taasisi ya The Islamic Foundation chini ya mwenyekiti wake Aref Nahdi kwa jitihada kubwa za kuwainua waislamu nchini Tanzania kupitia nyaja mbalimbali ikiwemo kiuchumi,kielimu pamoja na kijamii. BALOZI huyo aliyasema hayo katika ziara aliyoifanya leo makao makuu ya Taasisi ya The Islamic Foundation na kujionea kazi mbali mbali zinazofanywa na #TIF Balozi huyo ameisifu ...

Read More »

Mtu asiyeweza kufunga daima Swali: Mimi nina umri wa zaidi ya miaka 70. Hivi sasa nimepitwa na Ramadhani kadhaa, na sijazilipa kwa sababu ya maradhi. Je, kwa utu uzima wangu ninalaz- imika kulipa hizi funga na kutoa fidia au nifidie tu? na kipi kiwango cha pishi kwa kulinganisha na kilo? JawabU: Kama una matu- maini ya kupona unalazimika kulipa funga. ...

Read More »

Usiwe mwanachama wa Jumuiya ya wanaoabudu Ramadhani Tanzania

Upepo huu wa Ramadhani umetulia mwisho wa tangazo linalo- wataka Waumini kuishika amri ya kufunga kama walivyowajibishwa wenzao waliopita, ‘la’allakum tat- taqoun’, (Qur’an, 2: 183). Taqwa ndilo lengo haswa la kuja kwa funga ndani ya Mwezi Mtukufu Rmadha- ni. Upepo ulipoanza kuvuma na ku- sisimua ngozi za waumini, wal- ionekana wakichangamka na ku- jiandaa na kusikika kuutaja sana mwezi huu ...

Read More »

TIF yafuturu na wabunge

Taasisi ya The Islamic Foundation (TIF) yenye makao yake makuu mkoani Morogoro imeuaga Mwezi Mtukufu wa Ra- madhani kwa kuwafuturisha wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanza- nia. Katika kuheshimu Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambao umejaa kila aina ya ma- funzo ikiwamo kuheshimiana, kujenga umo- ja, tabia njema, ukarimu, upendo, lugha nje- manaibadakadhaawakadhaa, TIFiliwaleta wabungewavyama,maeneonadini mbalim- bali pamoja ...

Read More »

Kudumu na ibada baada ya Ramadhani ni ishara ya kukubaliwa swaumu

Allah anasema; “Na Muham- mad si yeyote isipokuwa ni Mtume tu. Wamekwishapita kabla yake Mitume. Je, akifa au akiuawa mtageuka nyuma ya visigino vyenu (mrudi ukafirini)? Na atakayegeuka nyuma ya visig- ino vyake, basi hatomdhuru Al- lah kitu chochote. Na Allah ata- walipa wenye kushukuru. Na unaelewa nini unaposoma Hadithi ya Mtume iliyorekodiwa na Imamu Bukhari na Muslim kutoka kwa ...

Read More »

Kwa heri Ramadhan, Karibu ucha Mungu

Kichwa cha habari cha makala yangu ki- nakaribiana na maneno yaliyosemwa na mwandishi Harith Ghasani katika kita- bu chake maarufu alichokiita, ‘Kwa heri ukol- oni kwa heri uhuru.’ Nimeona niyatumie maneno kama hayo kwa kuwa yanasadifu zaidi kwenye hali zetu sisi Waislamu wa umma huu, hususan katika msimu tuliou- maliza wa Ramadhani. Katika kalenda ya Ki- islamu, Ramadhani ni mwezi ...

Read More »